Hale Academy yawaangukia wadau

Dimba - - News - NA GLORY MLAY

KATIBU msaidizi wa kituo cha kukuza na kuendeleza vipaji, Hale Academy Center, Mohammed Makango, amewataka wadau kujitokeza kusapoti ligi ya kituo hicho kwa ajili ya kuendelea kukuza vipaji vya vijana wanaochipukia.

Akizungumza na DIMBA, Makango, alisema kwa sasa hawana mfadhili yeyote wanayemtegemea katika kukuza mchezo huo hapo wilayani, hivyo wanaomba sapoti kwa Serikali pamoja na wapenzi wa mchezo huo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.