Mshambuliaji

Dimba - - News -

wa Green Warriors, Mansour Omari, akifanya maarifa ya kuwatoka mabeki wa Pamba SC ya Mwanza katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza uliozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja wa Nyamagana, Mwanza juzi. Pamba ilishinda 4-2. Picha na DAMIAN MASYENENE

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.