MBAYA WA LIVERPOOL NA MASHUTI HATARISHI ZAIDI

Dimba - - Sultan - NA MAREGES NYAMAKA

MWANZONI mwa wiki Liverpool walijikuta wakitupwa nje ya michuano ya Kombe la FA raundi ya tatu, baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Wolverhampton Wanderers.

Moja ya mchezaji aliyeonekana kikwazo kikubwa kwa majogoo hao wa Anflied, alikuwa ni Rúben Diogo da Silva Neves aliyefunga bao la ushindi akiwa nje kidogo ya boksi. Lilikuwa ni bao la tisa kwa kiungo huyo Mreno mwenye umri wa miaka 21 kufunga msimu huu katika mashindano yote akiwa nje ya eneo la hatari.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.