Riadha waanza kujifua

Dimba - - Sultan - NA OSCAR ASSENGA, TANGA

TIMU ya riadha Mkoa wa Tanga imeanza maandalizi yake kwa ajili ya kujiwinda na mashindano ya Mbio za Nyika yatakayofanyika Februari mwaka huu, mkoani Arusha.

Akizungumza na DIMBA Jumatano, Katibu Mkuu wa Chama cha mchezo wa Riadha mkoani Tanga (RT), Hassan Mwagomba, alisema kikosi cha timu hiyo kinajifua kwenye viwanja vya shule ya ufundi jijini Tanga.

Alisema wachezaji ambao watawakilisha mkoa kwenye mashindano hayo wananolewa na kocha Ally Bebwa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.