HIYO RATIBA YA KOMBE LA FA ‘KONKI’

Dimba - - Sport Pesa -

BAADA ya mchezo wa Wolverhampton dhidi ya Liverpool kumalizika na vinara hao wa Ligi Kuu ya England kupigwa mabao 2-1, ratiba ya mzunguko wa nne ilipangwa usiku wa kuamkia jana. Ilikuwa ngumu kuona vigogo wa soka la England wasikutane katika hatua hii, basi iko hivi, Arsenal wataikaribisha Manchester United katika michezo hiyo inayotarajiwa kuchezwa Januari 25 hadi 28.

Ratiba kamili ya mzunguko wa nne wa Kombe la FA; Swansea City vs Gillingham, Wimbledon vs West Ham, Shrewsbury au Stoke vs Wolves, Millwall vs Everton, Brighton vs West Brom, Bristol City vs Bolton, Accrington v Derby au Southampton.

Michezo mingine ni Doncaster vs Oldham, Chelsea vs Sheffield Wednesday au Luton, Newcastle au Blackburn vs Watford, Middlesbrough vs Newport, Manchester City vs Burnley, Barnet vs Brentford, Portsmouth vs QPR, Arsenal vs Manchester United na Crystal Palace vs Tottenham.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.