Wahamiaji haramu

Mtanzania - - Kanda Ya Ziwa -

WAHAMIAJI haramu 1470 kutoka mataifa mbalimbali wamekamatwa mkoani Kagera kwa kuingia nchini kinyume cha sheria, ANARIPOTI EDITHA KARLO.

Ofisa uhamiaji Mkoa wa Kagera Abdallah Towo alisema kwa kipindi cha Januari hadi Juni 30 mwaka wahamiaji haramu waliokamatwa ni Warundi 994,Waganda 223,Warwanda 193,Wathiopia 19,Wacongo 39 na Wakenya wawili.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.