PAPA WA NAZI

Mtanzania - - Jamii Na Afya -

MAHITAJI Papa Kitunguu Nyanya Nyanya Kitunguu Karoti vipande 1 3 chungu/ngogwe maji saumu 8 2 1 4 Pilipili Bamia Chumvi hoho 10 kiasi 1 Binzari Ndimu 1 masalo vijiko vya chai 2 Nazi 1 Mafuta vijiko vya supu 3 NAMNA YA KUANDAA Roweka vipande vya papa kwenye maji ya moto kisha toa maganda yake. •0sha na maji ya kawaida weka kando. •Kung nazi kisha ichuje na utoe tui zito na tui la maji. •Katakata vipande vidogodogo, vitunguu, nyanya/tungule, kitunguu na kitunguu thomu. •Kata karoti na bamia vipande virefu virefu •Weka mafuta katika sufuria anza ku-kaanga vitunguu, nyanya, kitunguu saum. •Tia papa na pilipili hoho, endelea kukaan-ga na mchanganyiko. •Tia karoti na bamia, kisha tia tui maji kikombe kimoja na ndimu iwivishe na papa, karoti na bamia. •Tia tui zito, ikishachemka kwa dakika kadhaa ipua. Baada ya hapo mboga yetu itakuwa tayari kuliwa. Mboga hii unaweza kula kwa wall wa nazi au ugali wa muhogo, ugali wa mtama au hata dona.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.