Mwanamke Mkristo aliyeachiwa Pakistan hajulikani aliko

Mtanzania - - Kimataifa / Matangazo -

MWANAMKE Mkristo aliyeachwa huru na mahakama baada ya kukaa kwa miaka minane akisubiri utekelezwaji wa adhabu ya kifo dhidi yake kwa kukufuru, aliachiwa huru lakini hajulikani aliko.

Imeelezwa mahali aliko ni siri kubwa kwa maofisa wa usalama kutokana na madai ya Waislamu wenye itikadi kali wanaotaka auawe hadharani.

Asia Bibi pamoja na familia yake, wamekuwa katika ulinzi mkali kabla ya kuhamishwa baada ya kutoka eneo la kusini la Punjab alikofuingwa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.