NYEGERE

Mtanzania - - Toto -

NYEGERE ni mnyama mdogo anayekula nyoka, kenge, majani, matunda, kenge, mizoga ya binadamu, chui, simba, duma, ndege n.k...kwa kifupi anakula kila kitu na ngozi yake ni ngumu sana kiasi kwamba mishale na mikuki au risasi ni ngumu kupenya. Nyegere huishi peke yao kwenye shimo analolichimba yeye mwenyewe. Vile vidole vyao vyenye kucha ndefu na ngumu humsaidia sana kwenye kazi hii.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.