Itakuwa ngumu Conte kwenda Real Madrid

Rai - - MAKALA JAMNOIVIEMBA -

HIVI sasa kikosi cha Real Madrid kiko chini ya kocha wa muda, Santiago Solari, ambaye kabla ya kupewa nafasi hiyo alikuwa akiinoa timu ya vijana.

Baada ya kumtimua Julen Lopetegui, bado Madrid wanaendelea na harakati za kusaka atakayekikalia kiti chake na Antonio Conte ndilo jina linalozungumziwa zaidi.

Conte amekuwa nje ya kazi ya kufundisha soka tangu alipotimuliwa Chelsea na Muitali mwenzake, Muarizio Sarri, kukabidhiwa kibarua chake.

HASSAN DAUDI NA MITANDAO Conte

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.