Viongozi wa dini wawe faraja kwa walemavu

Rai - - MAONI/KATUNI -

Heri ya mwaka mpya wasomaji wangu wa safu hii ya Ukweli Ulivyo. Kwa pamoja tunamshukuru Mungu kwa kutuvusha salama hata kuufikia mwaka huu wa 2019. Yangu matumaini kuwa tuliyoyapanga kuyatekeleza mwaka 2018 yapo ambayo tumeyafanikisha na yapo pia ambayo hatujayafanikisha.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.